Shiriki katika mashindano mbalimbali ya ubunifu na ushinde tuzo kubwa. Kila mashindano yana lengo la kuboresha sekta tofauti nchini Tanzania.
“Wana Wanafikiri, Taifa Linasonga” Shindano la wazo bora bunifu la Vijana juu ya kulinda na kukuza Uchumi wa Taifa kutokana na Changamoto Za Kimataifa. Wasilisha …
Mashindano mapya yatatangazwa hivi karibuni.
Mashindano yaliyokwisha yataonekana hapa.
Angalia orodha ya mashindano na uchague unaofaa na wewe
Jaza fomu ya kuwasilisha mradi wako na maelezo kamili
Wapiga kura watachagua washindi na tuzo zitatangazwa