“Wana Wanafikiri, Taifa Linasonga” Shindano la wazo bora bunifu la Vijana juu ya kulinda na kukuza Uchumi wa Taifa kutokana na Changamoto Za Kimataifa. Wasilisha hapa: https://bit.ly/VijanaUchumiChallenge2026 Kabla ya Tarehe 30 April 2026. Vigezo: -Kijana Mtanzania, miaka 15 - 35. -Maneno yasizidi 300. -Video au Sauti isizidi Dakika 3. -Wazo liwe bunifu, endelevu,
Wasilisha mradi wako kwa mashindano ya Vijana Uchumi Challenge. Fuata hatua zilizo hapa chini na wasilisha mradi wako kwa urahisi.
Fuata hatua hizi rahisi ili kuwasilisha mradi wako kwa mafanikio
Eleza kwa undani kuhusu mradi wako, tatizo unalolitatua, na suluhisho lako.
Pakia picha au video za mradi wako ili kuonyesha wazi jinsi inavyofanya kazi.
Angalia kuwa maelezo yako ni sahihi, kamili, na yanakidhi mahitaji ya mashindano.
Bofya kitufe cha 'Wasilisha Mradi' na subiri ujumbe wa uthibitisho kutoka kwetu.