Tanzania Vijana Hub ni jukwaa la kitaifa linalowaunganisha vijana wenye ubunifu na fursa za kushindana. Shiriki katika mashindano, onyesha vipaji vyako, na pata usaidizi kufikia malengo yako.
Shiriki na ushinde tuzo kubwa
“Wana Wanafikiri, Taifa Linasonga” Shindano la wazo bora bunifu la Vijana juu ya kulinda na kukuza Uchumi wa Taifa kutokana …
Pata habari na matukio ya kisasa
Jiunge na maelfu ya vijana wanaobadilisha Tanzania kwa ubunifu wao.
Wasilisha Mradi Wako Leo